Ni ibada siku ya sabato iliyofanyika hapa Chuo Kikuu cha Arusha ikiwa ni mahafali ya saba ya chuo hiki kilichoanzishwa mwaka 1974 na mahafali ya kwanza baada ya kupewa chata na serikali ya Tanzania mwaka huu, Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Mbwana..


TUCASA wa Chuo Kikuu cha Arusha wakiimba wakati wa sadaka


Mch Geofrey Mbwana akihutubu leo hii,kushoto na Mch Nzungu akifasiri

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha Prof Emmanuel Matiku akitambulisha wageni

Baadhi ya wahitimu wa shahada ya kwanza ya eimu

Adventist youth met in Brazil in early January 2014 for the Fourth South American Pathfinder Camporee, one of the largest Christian youth events in the world.

ECUADOR PATHFINDERS: More than 3,000 delegates from Ecuador attended the Fourth South American Camporee in Brazil in early January.

THIS IS THE WAY: Magdiel Pérez Schulz, executive secretary of the South American Division, directs traffic at the Fourth Pathfinder Camporee.